Home Uncategorized MWAKILISHI MKAZI WA UN AMTEMBELEA PROF. MCHOME

MWAKILISHI MKAZI WA UN AMTEMBELEA PROF. MCHOME

138
0

Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Christine Musisi, amemtembelea Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Prof. Sifuni Mchome, ofisini kwake kwenye Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha.

Prof. Mchome (kulia) akizungumza na mgeni wake, Musisi na mwingine ni Godfrey Mulisa, Mtaalam wa masuala ya utawala wa Umoja wa Mataifa.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Prof. Sifuni Mchome (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Christine Musisi (kulia), alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma wengine ni Wakurugenzi wa wizarani hapo.